iqna

IQNA

IQNA – Ifuataya ni qiaraa (kisomo) ya qari maarufu wa Misri Sheikh Abdul Fattah Taruti akisoma aya aya za 7-12 za Surah Al-Qiyama ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479319    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/23

TEHRAN (IQNA)- Mahmoud Abdul Fattah Taruti, anafuata nyayo za baba yake, Ustadh Abdul Fattah Ali Taruti , mmoja wa wasomaji mashuhuri wa Qur'ani nchini Misri.
Habari ID: 3472805    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/26